728x90 AdSpace

­
Latest News
March 26, 2017

DARASA LA NDOA: Hii ndio Maana Halisi ya "NDOA"

Habari ndugu msomaji wa makala zetu katika blog hii ya Fumbuka, karibu tena siku ya leo tuweze kujifunza zaidi kuhusu Ndoa na Mahusiano, leo tutazungumzia maana Halisi ya Ndoa.

Ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye nia ya kuishi pamoja kwa maisha yao yote. Ni muungano wenye malengo ya kujenga familia pamoja na kuiongoza kwa namna ambavyo itakuwa bora kwao kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu.


"Ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke kuwa mwili mmoja ingiwa kwa mtazamo wa nje tunawaona wao ni wawili"  (Mwanzo 2:24). 

Kwa ujumla Ndoa ina maana zifuatazo;-

1. Ndoa, ni kujitoa muanga kumpokea mwenza wako wa ndoa katika maisha ya aina yoyote yale, ya taabu na raha, na kila ndoa ina taabu zake na pia ina raha zake, hili halikwepeki.

2. Ndoa, ni maisha ya kuvumiliana na kuchukuliana msalaba, katika mtazamo wa kikristu ninaweza sema, mume anakubali kubeba msalaba wa mke wake na mke anakubali kubeba msalaba wa mume wake kila siku za maisha yao.

3. Ndoa, ni kujitoa kumpenda mwenza wako siku zote za maisha yako na kuweka moyo wako kwake na kila siku lazima ujiulize nimefanya jambo zuri kwa mume au mke wangu.

4. Ndoa, ni kuishi maisha ya kushirikiana na kusaidiana kwa kila jambo, hakuna jambo dogo au kubwa katika ndoa, kila jambo lina umuhimu katika ndoa.

5. Ndoa ni maisha ya kuheshimiana na kujaliana hisia. Maisha ya ndoa ya vitendo zaidi kuliko maneno, hivyo lazima kujifunza kusoma ishara na kutambua kile mwenza wako anachomaanisha hata kabla hajasema. Kwa sababu siyo kila wakati mwenza wako ataongea na wewe kwa maneno muda mwingine atatumia lugha ya ishara na vitendo.

6. Ndoa ni kuungana, ndoa siyo “part-time” leo upo na mume wako kesho na mtu mwingine au mwanaume mwingine, ndoa ni kukubali kufarijiawa na mwenza wako wa ndoa kwa kila jambo.

7. Ndoa, ni maisha Mapya ya kutimiza wajibu wa ndoa, wajibu wa familia na wajibu wa muunganiko na hili siyo kadili unavyotaka bali ni wajibu wa lazima, kama huna uhakika, isijaribu kucheza na ndoa.

8. Ndoa siyo majaribio ya kuangali kama unaweza kuishi na mwanaume au mwanamke mmoja, ndoa ni maisha ya kujitoa kikamilifu bila kujibakisha na kuunganika na mwenza wako kimawazo, kihisia, kimahaba, kimapenzi na zaidi ya yote katika upendo.

9. Ndoa siyo fashion ya nguo au kuburudisha watu, ndoa ni agano la kuishi maisha matakatifu na mume au mke wako, mbele ya jamii na zaidi mbele ya Mungu, ukiishi kikamilifu katika ndoa na kufuata agano mliloweka, kumbuka BARAKA UTAPOKEA KUTOKA KWA MUNGU, UKIVUNGA AGANO HILO KUMBUKA ADHABU PIA UTAPATA. Ndoa lazima iheshimiwe na kutukuzwa.

10. Usiingie katika ndoa kama hauna uelewa wa kutosha nini maana ya ndoa, ndugu zangu ni wakati wa kuamka tujifunze kwa undani nini maana ya ndoa na nini maana ya kupenda, tusiishi kwa mazoea, ulimwengu umebadilika lazima kurudi katika busara za wazee wetu na katika maandiko matakatifu kutafakari kuhusu uchumba na maisha ya ndoa.


Nashukuru kwa kuwa nami katika makala hii.
Kwa maoni au ushauri wowote usisite kuniandikia kupitia

0713 515059   -Text/Call/ WhatsApp
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

4 blogger-facebook:

  1. Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159

    dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete
  2. Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.

    Niliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com

    WhatsApp: +2349046229159

    Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
    Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.

    Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.

    Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.

    Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.

    Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.

    Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi

    ReplyDelete
  3. I want to give a testimony on how I got cured from Herpes Virus. Few months back I was having some symptoms. I went to see a doctor and many blood tests were done on me, later on I was told I had Herpes. My doctor told me that there’s no cure for Herpes. I felt bad, I went online searching for a possible cure for Herpes Virus, I saw a post of Dr. Dawn, a herbal doctor that’s helping people get cured from Herpes.Cancer.HIV and more I contacted him and told him how I’m feeling. He said his herbal medicine can cure me. He sent me the medicine via UPS delivery service and I received the medicine 6 days after he sent it, i took the medicine as prescribed by him. Before I completed the medication the symptoms stopped. I went to the doctor and carried out another blood test, surprisingly I was Negative. I haven’t had any symptoms anymore. Dr. Dawn is great and you can
    contact on WhatsApp: +2349046229159
    Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )

    If you need herbal medicine to cure any chronic or sexual transmitted disease's like.
    HERPES.
    CANCER.
    HIV/AID'S and more

    ReplyDelete
  4. Sikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.

    Mume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
    Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
    Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.

    Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
    Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
    Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
    Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
    Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
    Nitaendelea kushukuru milele.
    Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
    . Usaidizi wa kurejesha ndoa
    . Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
    . Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
    . Mwongozo na ulinzi wa kiroho
    Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159
    dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete

Item Reviewed: DARASA LA NDOA: Hii ndio Maana Halisi ya "NDOA" Rating: 5 Reviewed By: Unknown