728x90 AdSpace

­
Latest News

Ofisi zetu zinapatikana

Mkoa: Dar es Salaam
Wilaya: Ilala
Kata: Pugu Bombani

Tunapatikana Katika Parokia ya Pugu Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mkabala na Shule ya Sekondari ya Pugu (Pugu Sekondari).

Kwa wanaotokeo Mjini: Panda gari za G/Mboto, ukifika G/mboto Mwisho-, panda gari za Kigogo Fresh au Chanika halafu shuka kituo kiitwacho "Pugu Sekondari"

Ramani inaonyesha hapo chini:-

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
Item Reviewed: Ofisi zetu zinapatikana Rating: 5 Reviewed By: Unknown