Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 20 Machi 2017 amekutana na kuzungumza na Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye baadaye amekutana n...
Showing posts with label VATICAN. Show all posts
Showing posts with label VATICAN. Show all posts
March 21, 2017
March 13, 2017
Pongezi kwa Papa Francisko kwa kutimiza miaka 4 leo tangu achaguliwe.
6:15 AM
Jumatatu 13 Machi 2017 leo, Baba Mtakatifu anatimiza miaka 4 tangu achaguliwe kuliongoza Kanisa Katoliki la Mungu na katika tukio hili ...
March 9, 2017
Jimbo kuu la Dar lazindua Jubilei ya Miaka 100 ya Bikira Maria wa Fatima
5:02 PM
Baba Mtakatifu Francisko anasema Kanisa katika ulimwengu mamboleo ni Kanisa la mashuhuda ambalo linaendelea kujengwa kutokana na damu ya ...
Hata sisi tunamsaliti Yesu kama Yuda kwa njia ya matendo yetu maovu!
4:55 PM
Mafungo ya kiroho ya Baba Mtakatifu Francisko na wenzake, huko Ariccia bado yanaendelea kwa tafakari ya nne na ya tano kufikia Jumenne ...
March 3, 2017
Papa Francis: Ukuaji wa imani na changamoto zake kwa Mapadre
12:46 AM
Mitume wa Yesu walipigwa na bumbuwazi baada ya kuambiwa kwamba wanapaswa kusamehe na kusahau, hali iliyowafanya kumwomba Yesu ili aweze k...
Imani kwa Mungu aliyejifunua kwa njia ya Kristo iguse madonda ya watu
12:40 AM
Wakristo katika maisha yao wanapaswa kumfuasa Yesu Kristo aliyezaliwa bila kuumbwa, Mwenye Umungu mmoja sawa na Baba, aliyeteswa, akafa n...
March 1, 2017
Ujumbe wa Baba Mtakatifu Fransisko wa Kwaresma 2017
4:56 AM
“NENO NI ZAWADI. NAFSI NYINGINE NI ZAWADI.” Ndugu wapendwa, Kwaresima ni mwanzo mpya, njia ambayo inatuongoza kwenye lengo la Pasa...
November 4, 2016
Papa: Wanawake Mapadri Kanisa Katoliki hapana
4:49 AM
Asisitiza Karismatiki kufwata taratibu za Kanisa Katoliki KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani Papa Fransisko amesema, Kanisa Katoli...
October 8, 2015
PAPA FRANCISKO ANAKWENDA UGANDA KAMA MJENZI WA DARAJA LA UPATANISHO NA AMANI
4:16 AM
Baraza la Maaskofu Katoliki Uganda linasema kwamba, hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Uganda kuanzia tarehe 27 hadi 29 Nove...
HURUMA YA MUNGU IPEWE KIPAUMBELE CHA KWANZA!
3:51 AM
Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha kilichoko mjini Vatican, Jumanne, tarehe 6 Oktoba 2015 a...
FAMILIA ZINAHITAJI ROHO YA UMOJA KIKANISA NA KIJAMII
3:43 AM
Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisco, ya Jumatano, kwa mahujaji na wageni , alilenga zaidi katika Mkutano wa XIV, wa Kawaida wa Sinodi ya ...
July 21, 2014
PAPA FRANCIS: Upendo na Ukarimu kamwe havina Likizo.
12:24 PM
Mungu humpenda zaidi mtu mkarimu, anayetoa kwa moyo mkunjufu. Na hivyo twapaswa kujifunza kutoa kwa ukarimu, na kujitenga na kupenda mal...
Subscribe to:
Posts (Atom)











