Msanii Shiole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali iliyotokea mjini Musoma leo.
Nay wa Mitego akikabidhi moja ya misaada iliyotolewa na baadhi ya wasanii wa Serengeti Fiesta muda mfupi baada ya ajali.
Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya kuahirishwa kwa Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Musoma leo.
0 blogger-facebook:
Post a Comment