Oops! wahenga walisema ajali haina kinga........
Blac
Chyna ni rafiki yake kipenzi kim kardashian na pia ni mama mtoto wa
rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni
gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake ambayo watu wengi
wanasema ni ya bandia yaani fake.
Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Yaliyojiri
hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu
wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta.
Inasemekana dada huyo alioneka akikimbilia kwa dotka kwa ajili ya marekebisho ya fasta.....majanga!!
Watu wanasema makalio ya Kim yanaweza kuwa bandia pia―Samaki mmoja akioza, wote wameoza heheh
0 blogger-facebook:
Post a Comment