Kila mtu hupata maumivu ya tumbo kwa
muda fulani ambayo huweza kusababishwa na tatizo dogo au kubwa kwenye
mfumo wa chakula, uzazi au njia ya mkojo.
Maumivu makali ya tumbo ambayo
hayaishi kwa muda mrefu mara nyingi husababishwa na chakula
kutomeng'enywa vizuri, kukosa choo kwa muda mrefu, saratani na
maambukizi katika mfumo wa chakula uzazi au nyongo, hedhi kwa wanawake,
tumbo kujaa gesi, aina fulani za vyakula, mawe katika figo, kidole tumbo
na matatizo mengine mengi.
Watu wengi huchukua
hatua ya kujitibu wenyewe ili kupunguza maumivu kwa kutumia dawa za
kutuliza maumivu,barafu, maji ya moto na kukaa mtindo unaoondoa maumivu
kwa muda mfupi.
Yafuatayo ni maumivu ya tumbo usiyopaswa kupuuza na inakupasa kwenda hosipitali kwa uchunguzi na vipimo.
0 blogger-facebook:
Post a Comment