728x90 AdSpace

­
Latest News
September 1, 2014

JESHI LA NIGERIA : Boko Haram 70 wauawa

wanajeshi wa serikali ya Nigeria.

Jeshi la Nigeria limetoa ripopoti kua mpaka sasa limekwisha waua wapiganaji 70 kutoka katika kikundi cha kiislam cha BOKO HARAM,kutokana na mashambulizi kati ya kikundi hicho na wanajeshi wa Nigeria kaskazini -mashariki mwa mji wa Bama.
Boko Haram walifika mapema asubuhi katika mji huo wakiwa na magari ya kivita,taarifa kutoka katika mji huo zinaeleza kwamba mashambulizi yalianzishwa na vikosi vya jeshi la Nigeria.

Msemaji wa kundi hilo la Boko Haram ameelezea hali ya mji huo kwa sasa kua wakaazi wa mji wa Bama wamekimbilia katika mji mwingine wa Borno na Maiduguri .
Nalo shirika la Amnest International limetoa takwimu raia wapatao milioni nne wamekufa mwaka huu katika mgogoro huo kati ya Boko Haram na vikosi vya ulinzi vya Nigeria.

Source: BBC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: JESHI LA NIGERIA : Boko Haram 70 wauawa Rating: 5 Reviewed By: Unknown