Mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Fahad Nassoro mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa mwananyamala anaesoma kidato cha 3 katika shule ya Sekondari ya kiislamu ijulikanayo kwa jina la Al-faruq Islamic seminary iliyoko Tabata jijini Dar es Salaam amekutwa na risasi 7 bwenini kwake na baada ya ufuatiliaji wa kina risasi zingine 48 zilipatikana na bunduki aina ya shot gun moja.
KWA HABARI ZAIDI UNGANI NASI KWA KU-LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK.. Bonyeza hapa.
0 blogger-facebook:
Post a Comment