728x90 AdSpace

­
Latest News
September 5, 2014

TAZAMA PICHA ZAIDI ZA AJALI ILIYOTOKEA MUSOMA NA KUUWA WATU ZAIDI 30...Hivi ndivyo ilivyokuwa

Eneo palipotokea ajali ya magari matatu kijiji cha Sabasaba wilaya ya Butiama mkoani Mara atu wakiangalia moja ya basi lililogongana na basi jingine na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
eneo la tukio,watu kibao walijitokeza kushuhudia
Baadhi ya waokoaji waliofika kwenye eneo la ajali hiyo.   
waokoaji eneo la tukio Askari wa usalama nawa raia wakijadiliana jambo.  
askari eneo tukio Uokoaji mwingine ukiendelea, ni baada ya gari aina ya  Nissan Torano kusukumwa na moja ya mabasi hayo na kuzama mtoni.  
Uokoaji ukiendelea gari dogo lililotumbukia mtoni Askari akiingia ndani ya gari hiyo kuangalia miili ya watu wawili waliokuwa humo ndani.  
Gari dogo lililotumbukia mtoni

 

Hali ilikuwa mbaya sana
eneo la tukio
mashuhuda eneo la tukio
Baadhi ya mashuhuda wakishuhudua ajali hiyo iliyotea Mbeya na kuua watu 25 papo hapo leo.
eneo la tukio
Mizigo ya abiria ikiwa imewekwa nje baada ya kutolewa kwenye mabasi hayo.
mizigo ya abiria.

Jiunge nasi kwa  kubonyeza hapa ili kupata habari kwa wingi pindi zitokeapo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: TAZAMA PICHA ZAIDI ZA AJALI ILIYOTOKEA MUSOMA NA KUUWA WATU ZAIDI 30...Hivi ndivyo ilivyokuwa Rating: 5 Reviewed By: Unknown