Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya
silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho
ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014
Sehemu
ya askari wakitoka katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la
medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5,
2014
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakismama kwa nyimbo
ya Taifa wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka
50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014
Askari
wa kikosi cha mizinga akichukua taswira meza kuu wakati wa ufungaji wa
zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha,
Septemba 5, 2014
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakipata picha ya
kumbukumbu na sehemu ya wapiganaji wakati wa ufungaji wa zoezi la
medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5,
2014
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza askari wanawake
waklioshiriki katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la
maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014
PICHA NA IKULU
0 blogger-facebook:
Post a Comment