Tunaendelea kufatilia ili kupata taarifa kamili ili kujua idadi ya vifo na majeruhi pamoja na taarifa nyingine ambapo ajali hii imetokea siku tatu baada ya Waziri wa uchukuzi Dr. Harryson Mwakyembe kufungia kampuni mbili za mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yaliyogongana na kuua 39 Musoma.
Unaweza kujiunga nasi ili tuwe nakutumia kila kinachotufikia kwa kubonyeza hapa >>> Fumbuka
0 blogger-facebook:
Post a Comment