728x90 AdSpace

­
Latest News
September 9, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA RWANDA, AMWAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Balozi Eugene Segore Kayihura na kumwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Balozi Ali Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Rais Kikwete pia amepokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Norway nchini Tanzania Bibi Hanne Marie Kaarstad.Pichani Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania 8647-Akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete.Na Balozi Mpya wa Tanzania nchini Rwanda Ali Idd Siwa 8827 akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA RWANDA, AMWAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Unknown