Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalia taswira za mzoga huo
KWA HABARI ZAIDI UNGANI NASI KWA KU-LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK.. Bonyeza hapa.
0 blogger-facebook:
Post a Comment