SERENGETI FIESTA YAAHIRISHWA MUSOMA, NI BAADA YA AJALI ILIYOSABABISHA VIFO VYA WATU ZAIDI YA 30.
Tamasha
la Fiesta lililokuwa lifanyike leo mjini Musoma mkoani Mara
limeahirishwa kutokana na ajali mbaya iliyotokea mkoani humo leo na kuua
watu zaidi ya 30 lea asubuhi eneo la katika eneo la SabaSaba.
0 blogger-facebook:
Post a Comment