Jeshi
la polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara kupitia dawati la jinsia kwa
kushirikiana na idara ya ustawi wa jamii mkoa wa Mara imemfikisha
mahakamani mzee mmoja mwenye umri wa miaka 54 Changwe Changige kwa kosa
la kumuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane.
0 blogger-facebook:
Post a Comment