Mpendwa, tunatafakari masomo ya Jumapili ya 25 ya mwaka wa A wa Kanisa, tukialikwa kuwa na matumaini daima katika kumtafuta Bwana na k...
September 21, 2014
WANANCHI WASHINDA NDANI SIKU TATU BILA YA KUTOKA NJE HUKO SIERRA LEONE
5:19 AM
Nchini Sierra Leone raia wameonekana kutekeleza agizo lililo wataka kukaa majumbani mwao kwa siku tatu mfululizo ili kupunguza maambukizi ya...
September 10, 2014
TAFAKARI: Roho ya Kwanini Chanzo cha Chuki na Uhasama katika Jamii
3:44 PM
Mpendwa msomaji wetu wa safu hii ya Tafakari na Mafundisho Kwa mara nyingine tena tujumuike katika safu hii, hasa kwa wakati huu tunapoit...
PAPA FRANCIS: HURUMA NI SILAHA YA UWEPO WA DUNIA NZURI ZAIDI
3:05 PM
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano akitoa Katekesi kwa mahujaji na wageni alisema, Mama Kanisa anatufundisha kwamba, matendo ya huruma n...
JELA MIAKA 15 KWA KUMCHEZEA MTOTO MDOGO SEHEMU ZA SIRI
2:26 PM
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumd...
YAJUE MAMBO YANAYOWEZA KUMFANYA BOSI WAKO AKUTHAMINI NA KUKUPENDA
2:21 PM
Inawezekana ukafikiri ni rahisi bosi wako kupenda unachofanya; ila kuna mambo ya msingi ambayo unatakiwa kufanya ili uthaminiwe na kupe...
HIVI NDIVYO VYAKULA VITAKAVYOKUFANYA KUHISI NJAA MUDA WOTE
2:10 PM
baadhi ya watu wamehathirika na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo hawawezi kuacha hata kama vinawaletea madhara. Kuna vyakula vingi amb...
YAFAHAMU MADHARA YA KUPIGA X RAY MARA KWA MARA
2:06 PM
Wengi wetu tumekuwa tukiandikiwa kipimo cha X ray kwa ajili ya uchunguzi wa magonjwa na matatizo mbalimbali na tumekuwa tukifanya mara kw...
HAYA NDIYO MAGONJWA HATARI YANAYOSABABISHWA NA MITINDO YA MAISHA TUNAYOISHI.
1:49 PM
Kuna baadhi ya magonjwa ambayo yanasababishwa na mifumo au mitindo ya maisha tunayoishi ikiwa ni pamoja na uzembe, uvutaji wa sigara, un...
JWTZ WAJENGA NYUMBA ZAIDI YA 6000 KWA AJILI YA WANAJESHI WAKE, WATUMIA DOLLAR MILIONI 300!!
9:17 AM
SERIKALI imekamilisha ujenzi wa awamu ya kwanza wa nyu...
HIZI NDIZO SABABU ZINAZOKUFANYA UENDELEE KUKOSA PESA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU
7:58 AM
1. UNA MATUMIZI MABAYA YA PESA Wapo watu ambao wanapopata pesa zinakuwa hazitulii kabisa mikononi mwao, kila kitu kinachopi...
MWANAFUNZI AKAMATWA NA RISASI BWENINI
5:20 AM
Mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Fahad Nassoro mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa mwananyamala anaesoma kidato cha 3 katika ...
MTU ASIYEFAHAMIKA MKAZI WA ILEMELA JIJINI MWANZA AJINYONGA..CHEKI PICHA HAPA===>
4:59 AM
Mwanaume mmoja mkazi wa Kiseke, Ilemela jijini Mwanza amekutwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kamba juu ya mti huku m...
MWANAMKE ADONDOKA KWENYE BODABODA NA KUKANYANGWA NA LORI: Tunaomba radhi kwa picha hizi===>
4:51 AM
Mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amekufa papo hapo baada ya kudondoka kwenye pikipiki aliyokuwa amepanda na kisha kukan...
AJALI MBAYA YAUA WANAJESHI 3 HUKO MKOANI LINDI: HABARI KAMILI HAPA
4:19 AM
Kutoka Lindi kuna taarifa ambayo imethibitishwa pia na kamanda Mpinga kuhusu ajali iliyotokea Mtwara ambayo imehusisha gari la Jeshi l...
September 9, 2014
VIJANA WEKENI MSISITIZO MASOMO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILI MUWE WAJUZI NA KULETA MAENDELEO NCHINI
6:00 PM
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Mh Benjamin William Mkapa akizungumza na wanasayansi vijana katika mkutano wa wanasayasi vijana uli...
WAZIRI MKUU MH. PINDA AWATAKA WANASHERIA WAWAFIKIRIE KWANZA WATU WA CHINI
5:52 PM
Waziri Mkuu, mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)