Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends.
Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa.
Hekaheka langoni mwa Tanzania.
Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza.
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na kocha Msaidizi wa Tanzania 11, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' mara baada ya mchezo.
Kiungo wa timu ya Real Madrid Legends, Christian Karembeu akichukua picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete.
Nzuri sana........
Mfunga wa mabao ya timu ya Real Madrid, Reuben akipokea mpira baada ya kupiga 'hat trick' katika mchezo huo.
Beki wa timu ya Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa akichuana na mshambuliaji
wa Real Madriad Legends, Luis Figo wakati wa mchezo wa Kimatifa wa
Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akitafuta mbinu
za kuwatoka wachezaji wa Tanzania 11 wakati wa mchezo wa Kimatifa wa
Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akimiliki mpira
mbele ya beki wa Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa wakati wa mchezo wa
Kimatifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akikabidhi kombe kwa mchezaji wa Real Madriad
Legends baada ya kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Tanzania 11 katika
mchezo maalum wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.
Benchi la ufundi la Tanzania 11
Luis Figo akisalimiana na wachezaji wa Tanzania 11.
Peter Manyika akisalimiana na Luis Figo.
0 blogger-facebook:
Post a Comment