Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la
Kibaigwa mkoani Dodoma katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo
Agosti 28, 2014 , ambapo alijionea shehena kubwa sana ya mahindi
iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi. Mwaka
huu, kama ilivyokuwa mwaka jana, mavuno ya mahindi yamekuwa makubwa
kiasi hata cha kupatikana kwa mavuno ya ziada yanayolemea maghala
yaliyopo, ikiwa ni muendelezo wa mafanikio ya sera ya kilimo kwanza
ambayo imekuwa ikileta matokeo mazuri kila mwaka.
August 30, 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 blogger-facebook:
Post a Comment