Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema serikali inaangalia uwekezano wa kufuta ada kwa shule zote za sekondari za serikali ili wanafunzi wasome bure kuanzia elimu ya msingi mpaka sekondari lengo likiwa ni kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu ya msingi na sekondari bila changamoto yoyote huku zoezi la utoaji wa mikopo kwa elimu ya juu likitarahishishwa zaidi ili kutoa fursa kwa wanafunzi wengi kupata mikopo.
Rais Kikwete ameyasema hayo wilayani Mvomero akiwa katika
mwendelezo wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo
mkoani Morogoro.
Source: ITV.
0 blogger-facebook:
Post a Comment