728x90 AdSpace

­
Latest News
August 24, 2014

VYAKULA VINAVYOFAA KWA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo husababishwa na bakiteria aina ya H. pylori ambao uishi kwenye tabaka za tumbo na utumbo mdogo. 

Kwa mtu ambaye ambaye ulinzi wa tabaka hizi uko sawa vimelea hawa uishi bila madhara yoyote wakati kwa wale ambao ulinzi umeharibiwa na dawa za aspirin, NSAID, saratani katika mfumo wa chakula, uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kali kupita kiasi uleta madhara ya vidonda vya tumbo kama maumivu makali juu ya tumbo na kuvimbiwa, kiungulia, kichefuchefu na kutapika. 

Endapo unasumbuliwa na tatizo ili unaweza fika hosipitali ambapo dawa za kuua bakiteria na kukomesha na kuzuia uzalishaji wa tindikali ambayo uharibu ukuta wa tumbo sambamba na kuepuka vyakula vinavyochochea uzalishaji wa tindikali hii unashauriwa kula vyakula vifuatavyo:-

  • Maziwa 
  • mayai
  • Mikate ya ngano
  • Supu ya mboga za majani
  • Ndizi
  • Jibini
  • Matunada
  • Samaki wa kuoka wenye viungo kidogo
  • Vyakula vyenye mafuta kidogo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: VYAKULA VINAVYOFAA KWA MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO Rating: 5 Reviewed By: Unknown