CRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA ULAYA 2014/15
Mchezaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo
amechaguliwa leo kuwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Ulaya (UEFA), KWA
MWAKA 2014/15, wakati wa kupanga makundi ya timu zitakazoshiriki
mashindano ya UEFA. Amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora.
0 blogger-facebook:
Post a Comment