728x90 AdSpace

­
Latest News
August 21, 2014

RADIO EFM YAZIDI KUIBOMOA RADIO ONE,BAADA YA KITENGE YAMNYAKUWA KATANGA

Embedded image permalink
Aliyekuwa Mtangazaji wa Radio One Omari Katanga leo amejiunga rasmi na 93.7 EFM akifuata nyayo za pacha wake Kitenge . Saa moja iliyopita EFM katika page yake ya twitter waliandika kuwa wamemsainisha mtangazaji wa zamani wa Radio One kujiunga na Radio yao. baada ya siku mbili zilizopita mtangazaji mahiri wa habari za michezo nchini Maulid Kitenge kujiunga na EFM.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: RADIO EFM YAZIDI KUIBOMOA RADIO ONE,BAADA YA KITENGE YAMNYAKUWA KATANGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown