Amiri
Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza
luteni Usu Mohamed Ramadhani Mgalawe baada ya kuibuka mwanafunzi bora
wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni maafisa wapya 179 wa jeshi la
Wananchi waliohitimu vyema mafunzo yao katika chuo cha Jeshi Monduli
Mkoani Arusha jumamosi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 179 wa
jeshi waliohitimu vyema mafunzo yao ya muda mrefu katika chuo cha jeshi
Monduli mkoani Arusha.
Maofisa
wapya wa Jeshi wakila kiapo mbele ya Amiri jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni iliyofanyika
katika chuo cha jeshi kilichopo Monduli Mkoani Arusha .
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na maofisa wapya wa jeshi baada ya kuwatunuku kamisheni katika sherehe
zilizofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mkoani Arusha.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Luteni Usu Mohamed
Ramadhani Mgalawe aliyeibuka mwanafunzi bora(Best Oficer Cadet Traineer
Overall) wakati wa mafunzo ya muda mrefu ambapo maafisa 179 wa jeshi
walihitimu vyema na kutunukiwa kamisheni katika chuocha jeshi Monduli .
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na mwanafunzi Bora katika kozi ya muda mrefu ya jeshi Luteni Usu Mohamed
Ramadhani Mgalawe(watatu kushoto) pamoja na wazazi wake muda mfupi
baada ya Rais Kuwatunuku kamisheni maofisa 179 wa jeshi katika chuo cha
Monduli Mkoani Arusha .
Mtoto
mdogo akimsalimia Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya
kumalizika kwa sherehe za kuwatunuku kamisheni Maofisa 179 wa jeshi
katika chuo cha jeshi Monduli Mkoani Arusha.
0 blogger-facebook:
Post a Comment