728x90 AdSpace

­
Latest News
August 18, 2014

RIBERY ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

Kiungo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Frank Ribéry ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu yake hiyo ya Taifa na hivyo kuelekezea nguvu zake zote katika kuitumikia klabu yake ya Bayern Munchen...

Ribéry, mwenye umri wa miaka 31 amekwisha ichezea Ufaransa jumla ya mechi 81 za kimataifa na kuifungia mabao 16...
Ribery amelikosa Kombe la dunia Brazil 2014 kwa kuondolewa kikosini baada ya kuumia mgongo wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa, mwezi June 2014
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: RIBERY ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA Rating: 5 Reviewed By: Unknown