728x90 AdSpace

­
Latest News
March 26, 2017

TAFAKARI YA SIKU: Imani kwa Yesu -- Tarehe 27/03/2017


“KWARESIMA YA UKARIMU”
Tafakari ya Kwaresima
Jumatatu, Machi 27, 2017.
Juma la 4 la Kwaresima

Isa 65: 17-21;
Zab 29: 2, 4-6, 11-13;
Yn 4: 43-54.

IMANI KWA YESU

Leo, tunamwona Jemedari anamwomba Yesu kwa ajili ya uhai wa mtoto wake. Anaweka Imani kamili kabisa kwa Yesu. Anadhihirisha Imani yake kwa Yesu. Wakati Yesu alivyosema “waweza kwenda, mtoto wako yu mzima” bila hata kupoteza dakika moja huyu Jemedari anaondoka. Hili linaonesha Imani yake kamili kwa Yesu. Baada ya Yesu kusema mtoto wa huyu Jemedari alipona. Huyu jemedari anashuhudia muujiza. Anapokea kadiri ya Imani yake.

Kitu cha kuvutia cha kugundua katika Injili hii ni utofauti wa maneno ya Yesu. Kwanza kabisa, inaonekana kama Yesu amekasirika aliposema, “bila watu kuona ishara na miujiza, hamuamini”. Lakini mara moja anamponya kijana wa jemedari kwa kumwambia, “Mwanao atakuwa mzima”. Je, kwanini kuna utufatui katika maeneno haya ya Yesu na matendo yake? Yesu anatambua kwamba watu wengi wana Imani dhaifu. Antambua pia ishara na miujiza inasaidia watu wakati mwingine waweze kuamini. Lakini kilele cha malengo ya Yesu haikuwa kwa sababu ya kuponya mwili.

Leo hii dunia imetawaliwa na ugonjwa wa kimwili, kisaikologia na kiroho. Watu wanaenda kutoka sehemu moja hadi nyingine kwenda kutafuta msaada. Lakini je, tunaenda kwa Yesu yeye ambaye ni mponyaji wa Kimungu, ambaye haponyi tu mwili bali roho pia? Je, tuna Imani kama huyu jemedari?


Sala: Bwana, tafadhali ongeza Imani yangu. Ninakuomba nikuone wewe ukitenda katika maisha yangu, na nisaidie niweze kutambua upendo wako mkamilifu kwa kila kitu. Ninapo kuona wewe ukitenda katika maisha yangu, nisaidie niweze kuutambua kwa hakika kabisa, upendo  wakomkamilifu. Amina.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

1 blogger-facebook:

  1. Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159

    dawnacuna314@gmail.com

    ReplyDelete

Item Reviewed: TAFAKARI YA SIKU: Imani kwa Yesu -- Tarehe 27/03/2017 Rating: 5 Reviewed By: Unknown