728x90 AdSpace

­
Latest News
July 17, 2014

MAONYESHO YA ZANA ZA KIJESHI ZA NCHI KAVU YAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akihutubia wakati alipokuwa akiyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam . Kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akiangalia kifaru kilichotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Kanali John Nchimbi.


Kifaru cha Tanzania, kilichotengenezwa na Kampuni ya Nyumbu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kikiwa kwenye maonesho hayo
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akihutubia wakati alipokuwa akiyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa majeshi ya Afrika Mashariki, mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na baadhi ya Maofisa wa Kijeshi wa nchi mbalimbali za nje, walioshiriki katika maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua, Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na baadhi ya Maofisa wa Kijeshi wa nchi mbalimbali za nje na Kampuni zinazotengeneza zana na silaha za kivita, walioshiriki katika maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua, Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam .
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam .
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya hayo, Mlimani City, Dar es Salaam .
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akitembelea banda la Afrika Kusini mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam .
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa banda la Afrika Kusini mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam .
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akioneshwa zawadi ambayo alikabidhiwa kwenye banda hilo la Afrika Kusini.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akipatiwa maelezo na Meneja Mkuu wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Kampuni ya ARMSCOR, Lulu Mzili, watengenezaji wa zana za kijeshi ya Afrika Kusini.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akiangalia gari la Kijeshi lililotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Kanali John Nchimbi.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza zana za Kijeshi cha Nyumbu cha Tanzania, Kanali John Nchimbi, alipokuwa akiangalia zana mbalimbali za Kijeshi, mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam .
Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia), akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi.
Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia), akiwaleza jambo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi (katikati) na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto), wakati waziri alipokuwa akiangalia zana za Kijeshi, zilizotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto), akimweleza jambo Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia), wakati alipokuwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi (katikati), wakati waziri alipokuwa akiangalia zana za Kijeshi, zilizotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania.

Kikosi cha Bendi cha Jeshi la Wananchi (JWTZ), kikitumbuiza katika maonesho hayo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: MAONYESHO YA ZANA ZA KIJESHI ZA NCHI KAVU YAFUNGULIWA RASMI JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Unknown