Argentina ni ya pili, na Uhoanzi ni ya tatu. Spain imeporomoka hadi namba nane. Ureno namba 11, Italy 14 na England ni ya 20.
Msimamo ni kama ifuatavyo, pamoja na timu kutoka Afrika Mashariki. Nafasi ilizopanda au kushuka kwenye mabano.
1. Ujerumani (+1)
2. Argentina (+3)
3. Uholanzi (+12)
4. Colombia (+4)
5. Ubelgiji (+6)
6. Uruguay (+1)
7. Brazil (-4)
8. Spain (-7)
9. Uswisi (-3)
10. Ufaransa (+7)
AFRIKA MASHARIKI NA KATI
87. Uganda (-1)
95. Kenya (+13)
96. DRC (-12)
106. Tanzania (+7)
109. Rwanda (+7)
126. Burundi (+2)Orodha kamili: http://www.fifa.com/worldranking/rankingtable/
0 blogger-facebook:
Post a Comment