728x90 AdSpace

­
Latest News
July 20, 2014

AFCON 2015:-TAIFA STARS YAVUTWA 2-2 NA MSUMBIJI NYUMBANI HUKU UGANDA, BOTSWANA & SIERRA LEONE ZAANZA VYEMA

Thomas Ulimwengu kulia akipiga tik tak dhidi ya beki wa Msumbiji….. Kikosi cha Tanzania kilikuwa; Deogratius Munishi ‘Dida’, Shomary Kapombe, Oscar Joshua, Kevin Yondan, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Mwinyi Kazimoto, Thomas Ulimwengu, Erasto Nyoni, John Bocco/Haroun Chanongo dk78, Mbwana Samatta/Simon Msuva dk83 na Mrisho Ngassa/Khamis Mcha dk57.

Khamis Mcha baada ya kufunga bao la pili Kwa Taifa Stars.

Leo Julai 20,2014,katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza vibaya hatua ya mwisho ya mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani (2015) nchini Morocco, baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 na Msumbiji.

Katika mchezo huo, uliofanyika jioni ya leo, mabao ya Stars inayofundishwa na Mholanzi Mart Nooij yalifungwa na kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha ‘Vialli’ aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Mrisho Ngassa.

Mcha tena akaifungia Stars bao lililoelekea kuwa la ushindi dakika ya 71 kwa penalti, baada ya mabeki wa Mambas kumchezea rafu Mbwana Samatta kwenye eneo la hatari.

Msumbiji walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 48 kwa penalti iliyokwamishwa nyavuni na Elias Pelembe baada ya Kevin Yondan kucheza rafu kwenye eneo la hatari huku goli lililowapatia bao la kusawazisha dakika ya 89 kupitia kwa Isaac Carvalho aliyetokea benchi pia.

Kwa matokeo, hayo Taifa Stars sasa itajitaji ushindi wa ugenini ili kusonga mbele, au sare ya kuanzia mabao 3-3, wakati wenyeji wanaweza kunufaika na sare ya 1-1 au 0-0. 

Ikiwa 2-2 tena, mshindi ataamuliwa kwa mikwaju ya penalti.

Taifa Stars iliyofika hatua hii baada ya kuitoa Zimbabwe kwa jumla ya mabao 3-2 ikishinda 1-0 nyumbani na sare ya 2-2 Harare, ikifanikiwa kuitoa Msumbiji itapangwa katika Kundi C ambalo lina timu za Zambia, Cerpe Verde na Niger zilizofuzu moja kwa moja hatua hiyo, kuwania tiketi ya Morocco mwakani. 

Taifa Stars imekuwa ikinyanyaswa na Msumbiji miaka ya karibuni na mara mbili imewahi kutolewa na Mambas katika hatua za awali za AFCON. 

Kuwania Fainali za Ghana mwaka 2008, Stars ikiwa chini ya kocha Mbrazil, Marcio Maximo ilifungwa 1-0 Dar es Salaam katika mchezo wa mwisho wa kundi.

Kuwania Fainali za mwaka jana (2013) Afrika Kusini, Stars ikiwa chini ya kocha Mdenmark, Kim Poulsen, ilitolewa kwa penalti 5-4 na Msumbiji baada ya sare ya jumla ya 2-2. 

John Bocco akimpongeza Khamis Mcha baada ya kufunga bao la kwanza.
Mbwana Samatta alisababisha penalti iliyozaa bao la pili.

Mbali ya Mechi ya Taifa Stars na Msumbiji, Jana(Julai 19,2014) zilichezwa Mechi 3 nyingine za Raundi hii ya AFCON 2015 na Timu zote za Nyumbani kushinda 2-0 kila mmoja.

Uganda iliichapa Mautitania 2-0, Botsawana kuipiga Guinea-Bissau 0 na Sierra Leone kuiwasha Seychelles 2-0.

Mechi za Marudiano za Raundi hii zitachezwa Wikiendi ya Agosti 1 hadi 3.

AFCON 2015-MOROCCO

RATIBA/MATOKEO.
Saa za Bongo]

Jumamosi Julai 19,2014.

Uganda 2 – 0 Mauritania
Botswana 2 – 0 Guinea-Bissau
Sierra Leone 2 - 0 Seychelles 

Jumapili Julai 20,2014.

Lesotho 1 – 0  Kenya
Tanzania 2 -2  Mozambique
17:30 Congo v Rwanda
18:00 Benin v Malawi

MAKUNDI.

KUNDI A

-Nigeria
-South Africa
-Sudan
-Mshindi Congo/Rwanda

KUNDI B

-Mali
-Algeria
-Ethiopia
Mshindi Benin/Malawi

KUNDI C

-Burkina Faso
-Angola
-Gabon
-Mshindi Lesotho/Kenya

KUNDI D

-Ivory Coast
-Cameroun
-Congo DR
-Mshindi Sierra Leone/Seychelles

KUNDI E

-Ghana
-Togo
-Guinea
Mshindi Uganda/Mauritania

KUNDI F

-Zambia
-Cape Verde
-Niger
-Mshindi Tanzania/Msumbiji

KUNDI G

-Tunisia
-Egypt
-Senegal
-Mshindi Botswana/Guinea-Bissau
Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk. Valentino Mokiwa.
Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.
Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la 
Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya Millo iliyoko Ludewa mkoani Njombe.
Mtikila alivyoitwa na Askofu Mokiwa ili kujadili hilo alifika na wenzake watatu wa taasisi ya Liberty International Foundation na wakakaribishwa kwenye moja ya jengo la dayosisi ya St. Nicholous, usiku wa saa 03:00.
Muda mfupi baada ya kikao kuanza, Askofu Mokiwa ambaye alikuwa na wenzake saba, alisimama na kuwataka wajumbe wote wakaguliwe kama kuna mtu ana kinasa sauti. Baadae Askofu Mokiwa nae alisimama na kuungana na wenzie kuwakagua kina Mtikila baada ya kuhakikisha mlango umefungwa.
Katika upekuzi huo ndipo tuhuma hizo zilipopatikana kutokana na madai kwamba operesheni hiyo ilienda mbali zaidi ya lengo la kawaida.
Wakili wa Upande wa mashtska aliiambia mahakama kuwa, "Mlalamikiwa alitangaza kuwa, kila mtu aliyekuwemo kwenye mkutano lazima apekuliwe na kwamba atakayekataa angetumia nguvu, kwa kuwa alikuwa na bastola, hakuna aliyebisha."
Alisema kisha akaendelea "Mshtakiwa (Mokiwa) alianza kupenyeza mikono yake kwenye shingo kuelekea chini kisha huko chini mikono ya mlalamikiwa ilionekana waziwazi ikipapasa makalio ya mlalamikaji".
Mchungaji Mtikila ameiomba Mahakama imwamuru Askofu Mokiwa alipe fidia ya shs. bilioni moja kwa kumdhalilisha.
Madhara zaidi ya kitendo hicho ni pamoja na mfadhaiko, masikitiko, wasiwasi, aibu katika jamii na kupata shinikizao la damu la mara kwa mara na matatizo ya moyo kila anapokumbuka kitendo hicho.
Kesi inasikilizwa kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, chini ya Hakimu Agness Mchome. - See more at: http://www.comedyafrica.info/2014/07/mchungaji-mtikila-amfungulia-kesi.html#sthash.uXAq0Ma7.dpuf

Kesi inasikilizwa kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, chini ya Hakimu Agness Mchome.
- See more at: http://www.comedyafrica.info/2014/07/mchungaji-mtikila-amfungulia-kesi.html#sthash.uXAq0Ma7.dpuf

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: AFCON 2015:-TAIFA STARS YAVUTWA 2-2 NA MSUMBIJI NYUMBANI HUKU UGANDA, BOTSWANA & SIERRA LEONE ZAANZA VYEMA Rating: 5 Reviewed By: Unknown