728x90 AdSpace

­
Latest News
September 5, 2014

WASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA

   

Msanii Shiole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali iliyotokea mjini  Musoma leo.


 
Nay wa Mitego akikabidhi moja ya misaada iliyotolewa na baadhi ya wasanii wa Serengeti Fiesta muda mfupi baada ya ajali.
 
Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya kuahirishwa kwa Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Musoma leo. 
 
Wasanii na crew ya Serengeti Fiesta wakati wakitoa misaada hiyo.
 
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mara akitoa ripoti ya marehemu na majeruhi wa ajai.
 
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya leo Musoma wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya ajali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: WASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA Rating: 5 Reviewed By: Unknown