728x90 AdSpace

­
Latest News
September 5, 2014

UKISTAAJABU YA MUSA::: DADA AFUNGA NDOA NA MBWA

Picha za maharusi hao

Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake,
Wanaoamini kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kufukuza roho za kishetani na mikosi inayomsonga.
Inaelezwa kuwa mbwa huyo alitafutwa na baba mzazi wa mrembo huyo na kufanyika sherehe kubwa ikiwa na vitendo vyote vinavyofanywa na bibi harusi na bwana harusi kwa taratibu zao za ndoa.
 
Kwa mujibu wa Yahoo News, msichana huyo hakuwa na furaha kabisa na alieleza wazi jinsi alivyochukizwa na kitendo hicho, “Siifurahii kabisa hii ndoa.” Alisema binti huyo.
Bonyeza hiyo link hapo chini ;
“Tulilazimika kutumia pesa nyingi kwa ajili ya hii ndoa. Hiyo ndiyo njia pekee tunayoweza kufanya kuondoa mikosi aliyonayo na kufanya tendo jema kwa ajili ya kijiji chetu.” Amekaririwa mama yake Munda.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: UKISTAAJABU YA MUSA::: DADA AFUNGA NDOA NA MBWA Rating: 5 Reviewed By: Unknown