728x90 AdSpace

­
Latest News
September 5, 2014

SERENGETI FIESTA YAAHIRISHWA MUSOMA, NI BAADA YA AJALI ILIYOSABABISHA VIFO VYA WATU ZAIDI YA 30.

 
Tamasha la Fiesta lililokuwa lifanyike leo mjini Musoma mkoani Mara limeahirishwa kutokana na ajali mbaya iliyotokea mkoani humo leo na kuua watu zaidi ya 30 lea asubuhi eneo la katika eneo la SabaSaba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: SERENGETI FIESTA YAAHIRISHWA MUSOMA, NI BAADA YA AJALI ILIYOSABABISHA VIFO VYA WATU ZAIDI YA 30. Rating: 5 Reviewed By: Unknown