728x90 AdSpace

­
Latest News
August 30, 2014

MZEE WA MIAKA 54 AKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUOA MTOTO WA MIAKA 8


 
Jeshi la polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara kupitia dawati la jinsia kwa kushirikiana na idara ya ustawi wa jamii mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mzee mmoja mwenye umri wa miaka 54 Changwe Changige kwa kosa la kumuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: MZEE WA MIAKA 54 AKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUOA MTOTO WA MIAKA 8 Rating: 5 Reviewed By: Unknown