728x90 AdSpace

­
Latest News
August 24, 2014

HII NDIO FAIDA YA MTOTO KULIA PINDI AZALIWAPO

Faida ya mtoto kulia anapozaliwa ni kufungua njia yake ya hewa (respiratory pathway) pale anapokutana na mazingira ya nje yenye ubaridi tofauti na tumboni. 

Hii usaidia kufanya exchange ya oxygen na carbon dioxide kwenye mapafu kuanza kufanyika. Asipolia inamaana kuna uwezekanano wa kuhathiriwa na carbon dioxide nyingi sana kwenye damu na kusababisha chembe hai za kwenye ubongo (brain cells) kukosa hewa (hypoxia) na hii husababisha hizo cells zife matokeo yake mtoto anaweza kupata utaahira (cerebral palsy) au kifo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: HII NDIO FAIDA YA MTOTO KULIA PINDI AZALIWAPO Rating: 5 Reviewed By: Unknown