Baba Mtakatifu Francisko ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu Gabriel Mmole wa Jimbo Katoliki Mtwara la kung’atuka kutoka mada...
October 16, 2015
October 11, 2015
TAFAKARI YA NENO LA MUNGU: Dominika ya 28 Mwaka B wa Kanisa
11:21 PM
Tafakari ya Neno la Mungu Jumapili ya 28 ya Mwaka B wa Kanisa inaongozwa na Liturujia ya Neno la Mungu kama ifuatavyo: 1. Hek. 7: 7-1...
October 8, 2015
BLATTER ASIMAMISHWA FIFA, 'MCAMEROON' ASHIKA NAFASI YAKE
9:48 AM
Masaa machache baada ya Rais wa FIFA Sepp Blatter kusimamishwa kuliongoza shirikisho hilo, kiongozi wa shirikisho la soka Afrika ...
PAPA FRANCISKO ANAKWENDA UGANDA KAMA MJENZI WA DARAJA LA UPATANISHO NA AMANI
4:16 AM
Baraza la Maaskofu Katoliki Uganda linasema kwamba, hija ya kitume ya Baba Mtakatifu Francisko nchini Uganda kuanzia tarehe 27 hadi 29 Nove...
TAFAKARI: Si Bure Kumwona Tajiri Akiangau Kilio!
4:13 AM
Tajiri hana dhiki kama waliyonayo fukara na walala hoi wengine. Tajiri akiumwa anaweza kupata huduma popote tena kwa haraka na kwa uhakik...
HURUMA YA MUNGU IPEWE KIPAUMBELE CHA KWANZA!
3:51 AM
Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake kwenye Kikanisa cha Mtakatifu Martha kilichoko mjini Vatican, Jumanne, tarehe 6 Oktoba 2015 a...
FAMILIA ZINAHITAJI ROHO YA UMOJA KIKANISA NA KIJAMII
3:43 AM
Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisco, ya Jumatano, kwa mahujaji na wageni , alilenga zaidi katika Mkutano wa XIV, wa Kawaida wa Sinodi ya ...
TUME YAWAASA WANANCHI KUTOSIMAMA KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA
3:29 AM
Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini imewaasa wananchi kutosimama katika vituo vya kupiga kura mara baada ya kupiga kura oktoba 25 mwaka huu...
MGOMBEA URAIS WA ACT-WAZALENDO AAHIDI KUMTEUA MAGUFULI KUWA WAZIRI WA UJENZI
2:54 AM
Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema akipata ridhaa ya wananchi kuwa rais wa Tanzania, atamteua mgombea urais wa C...
October 6, 2015
WAKATOLIKI KUSALI JUMAMOSI BADALA YA JUMAPILI
2:37 AM
Baadhi ya Majimbo ya Kanisa Katoliki nchini, yametoa ruhusa maalum kwa mapadri yakiwataka kuendesha ibada zao siku ya Jumamosi ya O...
October 5, 2015
WATANZANIA DUMISHENI HAKI NA AMANI ILI KUFANIKISHA UCHAGUZI MKUU 2015
3:52 PM
Watanzania wanapoendelea na kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaoratajiwa kufanyika hapo tarehe 25 Oktoba 2015 wametakiwa kujenga na ku...
MCHUNGAJI MTIKILA AMEFARIKI AKIWA NA NDOTO NYINGI ZA DEMOKRASIA NCHINI TANZANIA!
8:11 AM
Watanzania wanaomboleza kifo cha Mchungaji Christopher Mtikila, Mwenyekiti wa Chama cha DP, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari Jumap...
SIMAMENI KIDETE KULINDA, KUTETEA NA KUSHUHUDIA INJILI YA FAMILIA!
7:46 AM
Askofu Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Tanzania, ameitaka Familia ya Mungu nchini Tanzania na kwa namna ya pekee wanasiasa k...
Subscribe to:
Posts (Atom)