728x90 AdSpace

­
Latest News
July 20, 2014

MAFUNZO MAALUM JKT 2014:- SOMA MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT.


Hatimaye Jeshi la kujenga Taifa la Tanzania (JKT) limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia JKT kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.

Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.

Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini:-

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: MAFUNZO MAALUM JKT 2014:- SOMA MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT. Rating: 5 Reviewed By: Unknown