728x90 AdSpace

­
Latest News
October 8, 2015

BLATTER ASIMAMISHWA FIFA, 'MCAMEROON' ASHIKA NAFASI YAKE

Hayatou, ambaye aliongoza CAF tangu mwaka 1988, pia alikuwa makamu wa rais katika kamati ya utendaji ya Fifa aliyehudumu muda mrefu zaidi.
PLATIN
Sepp Blatter na Michel Platini wote wamesimamishwa kazi
Blatter amesimamishwa kwa muda wa siku 90 kufuatia kashfa mpya ambayo imeibuka hivi karibuni ndani ya shirikisho hilo ikihusisha malipo ya fedha ambazo ziliandikishwa kwa akaunti ya rais wa shirikisho la vyama vya soka barani Ulaya Michel Platini
Rais mpya wa FIFA atapatikana Februari 26, 2016.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 blogger-facebook:

Post a Comment

Item Reviewed: BLATTER ASIMAMISHWA FIFA, 'MCAMEROON' ASHIKA NAFASI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown